keitowangu
Member
- Dec 2, 2014
- 12
- 0
Mimi ni mwanamke mwenye miaka (25), ninaishi na mwanaume na tumezaa naye mtoto mmoja. Mtoto wetu sasa anamwaka (1).
Tangu nijifungue mume wangu amepunguza kasi ya kufanya mapenzi na mimi, na pia amepunguza hamu na mimi hata tukifanya mapenzi dudu yake haisimami sana kama zamani.
Tatizo ni nini, na linatokana na nini na nifanyeje? Naomba mnijuze wadau.