Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Usinifokee

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,502
Reaction score
3,522
Habarini za wakati huu ndugu wana bodi, natumaini mko vyema.

Nina tatizo kidogo kwenye kuweka Antivirus (Kaspersky antivirus) kwenye desktop yenye window 8.1 pro..

Nimekuwa nikijaribu mara nyingi kuweka lakini haiwezekani kufunguka nikiwa na maana inakataa ku install, nikahisi labda upande wa CD unashida hivyo nikafanya namna ya kujaribu kuiweka kwenye desktop nyingine yenye window 10 ikakubali, ikanibidi sasa ni copy kupiti flash memory lakini jitihada zote zimegonga mwamba nikaamua ku download kupitia mitandao lakini bado.

Je, tatizo litakuwa ni nini na nitalitatuaje?

Naomba kuwasilisha

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unapewa error gani?

Pia hakikisha .NET version ipo kama magitaji ya kaspersky yako.

Ni muhimu sana hiyo

Thank me later.
 
Back
Top Bottom