bunyua Member Joined Dec 29, 2018 Posts 16 Reaction score 15 Oct 20, 2019 #1 Akaunti yangu HESLB inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisa
Akaunti yangu HESLB inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,573 Oct 20, 2019 #2 Mkuu batch ya kwanza haupo kuna taarifa hapo wamekwambia uendelee kuwa unaangalia kwa batch zinazokuja. Hizo batch(awamu) wakati mwingine zinafika hata 5 keep faith.
Mkuu batch ya kwanza haupo kuna taarifa hapo wamekwambia uendelee kuwa unaangalia kwa batch zinazokuja. Hizo batch(awamu) wakati mwingine zinafika hata 5 keep faith.
bunyua Member Joined Dec 29, 2018 Posts 16 Reaction score 15 Oct 20, 2019 Thread starter #3 Kichwa Kichafu said: Mkuu batch ya kwanza haupo kuna taarifa hapo wamekwambia uendelee kuwa unaangalia kwa batch zinazokuja. Hizo batch(awamu) wakati mwingine zinafika hata 5 keep faith. Click to expand... kwaiyo niwe na uhakika au mana cjajua kwa mtu ambae hapati kabisa akaunti inakuaje ?
Kichwa Kichafu said: Mkuu batch ya kwanza haupo kuna taarifa hapo wamekwambia uendelee kuwa unaangalia kwa batch zinazokuja. Hizo batch(awamu) wakati mwingine zinafika hata 5 keep faith. Click to expand... kwaiyo niwe na uhakika au mana cjajua kwa mtu ambae hapati kabisa akaunti inakuaje ?
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,987 Reaction score 189,573 Oct 20, 2019 #4 Kuwa na subira awamu ni nyingi we usikate tamaa vigezo vyote vya mnufaikaji si unavifahamu. Kama umekidhi vyote wala usiwe na hofu ila fahamu unaweza kukosa batch ya kwanza ukapata batch ya pili. Ukikosa ya pili unaweza pata ya tatu. Always kuwa na hope, tomorrow is another day! bunyua said: kwaiyo niwe na uhakika au mana cjajua kwa mtu ambae hapati kabisa akaunti inakuaje ? Click to expand...
Kuwa na subira awamu ni nyingi we usikate tamaa vigezo vyote vya mnufaikaji si unavifahamu. Kama umekidhi vyote wala usiwe na hofu ila fahamu unaweza kukosa batch ya kwanza ukapata batch ya pili. Ukikosa ya pili unaweza pata ya tatu. Always kuwa na hope, tomorrow is another day! bunyua said: kwaiyo niwe na uhakika au mana cjajua kwa mtu ambae hapati kabisa akaunti inakuaje ? Click to expand...
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,125 Oct 20, 2019 #5 Hapo round ya Kwanzaa umekosa subir nyengine
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,631 Reaction score 193,596 Oct 20, 2019 #6 Vuta subira... Cc: mahondaw
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,566 Reaction score 3,642 Oct 20, 2019 #7 bunyua said: akaunti yangu heslb inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisaView attachment 1238760 Click to expand... Si usubiri kuna awamu zingine kama 10 Muhimu uvumilivu
bunyua said: akaunti yangu heslb inaandika madudu haya wazoefu naombeni mnijuze kama kuna matarajio au hamna mana nimechanganyikiwa kabisaView attachment 1238760 Click to expand... Si usubiri kuna awamu zingine kama 10 Muhimu uvumilivu