Msaada kwenye tuta

Hongera mkuu sasa hivi jina lako litakua baba kijacho
Shida ni kuwa tangu nimle amepata hedhi ila baada ya kumaliza ile hedhi sijamla tena lkn ananiambia anaujauzito! Hapo ndio ninapodata
 
Kweli mkuu?
Ndio boss.Zipo cases ambazo binti anapata hedhi hata miezi mitatu baada ya kupata ujauzito.Then baada ya miezi mitatu anaumwa akienda hospitali vipimo vinaonesha ujauzito wa wiki 12(miezi mitatu).Hivyo hedhi kwa mwanamke mjamzito inawezekana.
 
Shida ni kuwa tangu nimle amepata hedhi ila baada ya kumaliza ile hedhi sijamla tena lkn ananiambia anaujauzito! Hapo ndio ninapodata
Kipimo cha mimba ni kama 2000 ama 3000 na kiko simple sana nenda kampime
 
Ndio boss.Zipo cases ambazo binti anapata hedhi hata miezi mitatu baada ya kupata ujauzito.Then baada ya miezi mitatu anaumwa akienda hospitali vipimo vinaonesha ujauzito wa wiki 12(miezi mitatu).Hivyo hedhi kwa mwanamke mjamzito inawezekana.
Shukrani mkuu wacha nipunguze stres maana Mmh
 
Kama anatoa mayai mawili double yaani ovary kulia na kushotoa kwa kupishana kidogo inawezekana mkuu .
Kuna watu wanapata mimba huku wana bleed au wanakuwa wajawazito then wanaendelea ku bleed, hii ndio huleta wale mapacha wasiofanana.
Ila kama hujagegeda kabisa huyo alikuwa tayar mja mzito na alikuwa ha bleed chochote bal alitumia hiyonilik kukwepa kugegeda sasa uongo umekula kwake atapata tabu sana kuku shawish kubeba zigo lako.
 
Kweli mkuu?
Ndio wale wanaopevisha mayai mawili kwa wakati unaokaribiana kwa kawaida ovar hutoa yai moja kila mwenzi kwa zamu leonya kulia mwezinunaofuata ya kushoto so for rarr case but sio ajabu zote mbili zaqeza kutoa mayai na kupevusha kwa kupishana kuanzia siku 2 (wale wanao bleed muda mrefu kumbe ana yai mbili) au ana bleed ina kata then ana bleed tena( mayai yamepishana)almost a week na yote hayajatinaga mimba.
Ila ikitokea moja limenyukwa ndio hiyo kesi hiku ana mimba na ana bleed
 
Mrejesho :nimeenda hospital baada ya ushauri wa doctor na kumfanyia kipimo cha ultra sound imeonyesha anaujauzito wa wiki tisa na doctor anasema ni jambo linalowezekana kabisa
 
Mrejesho :nimeenda hospital baada ya ushauri wa doctor na kumfanyia kipimo cha ultra sound imeonyesha anaujauzito wa wiki tisa na doctor anasema ni jambo linalowezekana kabisa
Kama manzi akoo hajawahi gawa nje bhasi hongera...Japo hawaa Viumbe sioo mzee kuwa makini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…