Habari wana jf, kifupi kuna manzi nilikuwa nadate nae, mwezi uliopita nilipohitaji sex aliniambia yupo kwenye siku zake ila baada ya wiki tatu ananiambia anaujauzito wangu ilhali tangu aniambie yupo (blid) sijamgegeda! Sasa najiuliza imewezekanaje hii? Pia inawezekana kupata hedhi huku akiwa mjamzito?
Au ndo nishaingizwa mjini?