Sina hakika kama kukataa kufungua page ina be associated na nini,labda uangalie connections zako kama ziko tight..then kuwa na low disc space inatokana na kujaza sana docs kwenye disc C kiasi processor inaelemewa..jaribu kusave baadhi ya nyaraka ktk drive D...over