Tanganyika1 JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 424 Reaction score 90 Oct 18, 2011 #1 Wakuu habari za jioni. Ninashida ya kujua ni njia ipi mtu aliye maliza chuo kikuu kwa mkopo wa bodi ya mikopo anaweza kujua jumla ya pesa anazo daiwa? Natanguliza shukrani za dhati.
Wakuu habari za jioni. Ninashida ya kujua ni njia ipi mtu aliye maliza chuo kikuu kwa mkopo wa bodi ya mikopo anaweza kujua jumla ya pesa anazo daiwa? Natanguliza shukrani za dhati.