MSAADA KWENYE TUTA TAFADHALI

Chilemba wamela pamputi

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
468
486
Habari wanajukwaa polen kwa sikukuu ya idd, nilikuwa naomba msaada kwa wale watalamu wa IT , Nina simu yangu sumsung s3 Korea version haipandish kabisa, data nimejaribu kuandindika apn kama zote lakini bado inashindikana, nime install setting zinazo kuja au kutumwa na network providers lakini haijafuwa dafu,

Nombeni msaada wenu wa nini chakufanya TAFADHALI.

Natanguliza shukrani zangu nyingi
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom