Msaada kwenye tuta, nimeitwa interview

si umesomea ? sasa unaogopa nini?
 
hahahaha!!!!!!!!!!!!!!!
hata mi naona kuwa huogopi hongera sana
 
Inategemea na requirements za hiyo ngo,usihofu just be free.
 
Wakikuajiri mtu kama wewe watakuwa wameingia chaka!
 
HR ni fani au? Human Resource ....
 
Mkuu kama kweli wewe ni Graduate wa HR ulitakiwa uwe mtaalamu wa lnterview...hiyo ni part of your course!!Bandiko lako linanitia kizunguzungu.....sikuelewi
 
Mkuu kama kweli wewe ni Graduate wa HR ulitakiwa uwe mtaalamu wa lnterview...hiyo ni part of your course!!Bandiko lako linanitia kizunguzungu.....sikuelewi
ndo ukae kimnya kama huelewi si lazima kujib kila kitu humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…