Msaada kwenye tuta jamani

Funga speed gavana mkuu na amini mkeo ndiye bora kuliko wanawake wengine
 
..hasa hasa kwa jini mahaba linalomsumbua...
 
wow!! hapo kwenye blue panahusika..sikujua kumbe master degree nikakigezo kwenye malavidave..hehe ngoja na mie nianze kuitumia master degree yangu yaweza nipa mrembo wa haja bila hata ya kua na #$$ kumbe plus sijaoa na nipo below 30..lol.
 
Nunua dolido au vibrator uwe unajisevia badala ya hao wengine
 
Hujatulia hata kidogo.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Wewe ni mchafu.
 
Hujatulia hata kidogo.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Wewe ni mchafu.

Ni rahisi sana kulaumu/kuhukumu eeeeh? Mambo haya yapo kwa wengi sema tu hawayasemi,wengi wanakufa na tai shingoni, anyaway nilichohitaji kwa sehemu kubwa nimepata,lkn naamini hata ww ni mchafu labda hata zaidi yangu as far as hakuna msafi chini ya jua.....
 
Thank you for your advice,i will work upon, God bless you all... Let us learn to help @ other as friends in deed,almost all of us shares the common problem, bearing on mind that no one is perfect. -babajnr
 
Bangi tu hizo,huna lolote.....na nina wasiwasi hii ni multiple ID case.....

Nitake radhi aisee,bange siifaham,mimi udhaifu upo kwenye kale ka utamu tu,mengine huwezi kunikamata
 
hiyo ni hali ya kawaida tu, yaani me wameumbwa kama simba akiona swala hata kama anaakitoweo anatamani kumkimbiza amnase pia. swala. hapo jibu ni kukubali kuwa sasa hiyo stage imepita na ww inabidi utulie na mke, na hilo ni jambo rahisi la mindset tu......hebu fikiria unamwona mdada mrembo unafikiria ok hapa huku na kule, abcdefg... mwisho nampata tunaishia kunanihii, katika kunanihiii ukifuatilia hamna jipya sana na mara nyingine baada tu ya kumaliza unagundua hii ilikuwa wrong move tena too risky, kama ulikuwa under influence ya alcohol ndio zaidi haata unaweza kuwa umepekua kwenye miiba....next time ukimuona mwingine unaenda na hiyo cycle kichwani kwako..una ona hamna jipya unampotezea. baada ya muda unazoea unakuwa unaa-appreciate tu kwa macho uumbaji inaishia hapo.
 
Miaka 5 tu shehe tayari unataka nje? Badilisha mikao ya kula ile kitu usizoe missionary peke yake. Jitaidi kuwakwepa vimwana wana majaribu sana hasahasa wakimwona mkeo amependeza, anaendesha prado we unaendesha noah nk
 
Ulipaswa uoe ukiwa una miaka 50 hivyo,uliwahi.
Jambo la pili ni kwamba wewe sio mkiristo but ni mpagani wa ukweli maana kama ungekuwa mkiristo halisi ungekumbuka kile kiapo cha ndoa.
Tatu, unatafuta ukimwi ilhali ukijifariji kuwa wewe ni mkiristo maana unajua utakuja kuzikwa na wakristo tena wakisema huyu marehemu alikuwa mtu safi hana makuu na mtu kumbe alikuwa ni mtafuta virusi mzuri. Finish
 
Hivi mbona hata pale ambapo mtu anaamua mwenyewe tunasingizia pepo na shetani kakupita. We control our freewill.

Many cheaters use this line and it sounds like a broken record.
 
na kwa kua mkeo
ni mrembo sio kwamba hatongozwi!
siku akijua unalo baba,utalia coz huko ni
kujiendekeza!mfanye mkeo atawale mawazo yako!
wanaume mnasababisha wake zenu kufanya mambo ambayo
hawajawahi kuyawaza!acha hiyo tabia ni mbaya tulia na mkeo!

pole inaonekana imekushika!
 
kila kitu ni maamuzi, kama ukiamua unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…