Msaada kwenye sauti

olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,303
1,559
wakuu habari zenu
laptop yangu ina tatizo la sauti inakuna kama inakoroma hivi, mwanzoni ilianza kwenye speaker moja na sasa imahamia kwenye
speaker nyingine, hili linaweza kuwa tatizo la hardware au ni software maana jinsi lilipoanza ilikuwa comp ilizimika (ilikuwa na shida nyingine)
nikaiformat na kuweka fresh OS so ndo ikaanza kukoroma kwenye spika moja, je the prob ni driver au??
naombeni msaada wenu nisije badilisha spika kumbe si tatizo.
 
tatizo linaweza hardware au software....kama ulivyosema. kama ulifomat kompyuta yako na kuweka OS mpya inawezakana huja weka sound drivers kwani hujasema kama hizo zipo. sijui laptop yako ni aina gani, au version gani lakini sound drivers pia hutofautiana kulingana na version ya Os na aina ya kompyuta.
Kuangalia drivers za sauti Right click My Computer-chagua Properties, kwenye System Properties chagua Hardware then bonyeza Device Manager, devices zote kwenye kompyuta yako zitaorodheshwa hapo na kama kuna device imekosekana utaona alama ya njano na ulizo? kwa maana kuwa hazipo. so uangalia sound, video and game controllers...
Shortcut bonyeza Start - Run andika sysdm.cpl then utaona sysytem properties na uendelee.Kama hazipo lazima u dowload na ku-install.
Posibility nyingine ni ya spika kuwa mbovu, kuingiwa na vumbi au uchafu na kwa hilo itabidi uende kwa fundi mtaalamu wa kompyuta.


kwenye kibox cha Run andika sysdm.cpl
utona box
 
Back
Top Bottom