Msaada kwenye PC

Msaada kwenye PC

Jemsi

Senior Member
Joined
Mar 22, 2012
Posts
149
Reaction score
20
habari zenu wakuu, tatizo limetokea kwenye pc. nikiingiza password.unakuja ujumbe huu " THE USER PROFILE SERVICE FAILED THE LOGON. USER PROFILE CANNOT BE LOADED" nisaidien ndugu zangu.natanguliza shukrani
 
Windows gani unatumia?

Iamshe kwenye safe mode then uone itastart vipi,

Ikirudia tatizo, tumia profile ya mtu mwingine uone ikikubali basi hiyo inayogoma imecorrupt. Copy data zake then delete hiyo profile then add upya then restore data.
 
Window 7, hapo kwenye safe mode mimi ni mgeni sana kwenye IT naomba unielekeze
 
izme kwa kuforce the ukiwasha ndo itakwambia start window normally ww unachagua safe mode
 
Nimefanya hivyo ila nikiingiza password ule ujumbe unajirudia
 
Kwenye safe mode inakubali password ila sioni data zangu za kwenye desktop
 
Inakataa ku add user mwingine sijui ni nini
 
kama Pc ina inavirus hyo inatokea, mim ishanitokea angalia kama Antvirus uliyoweka haijaexpire.
 
Back
Top Bottom