msaada kwenye pc angu

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,300
Reaction score
743
jana nilijaribu kukuza display katika computer lakini baadae ikakata mawasiliano ikaniandikia out of range ..kwa mwenye utaalamu anisaidie tafadhali
 
Jaribu kuzima umeme, kisha washa pc yako katika 'safe mode', ikishawaka restart.
 
kama ni desktop kazi ni rahisi tu kile kikimstari ulichokiweka mpaka mwisho ndio kinasababisha so zima mornitor halafu washa mambo ni sawa kama laptop zima yote alafu washa upya kama kawaida hapa
danford pius hamisi
 
kabla haijawaka press f8 ikija menu chagua Enable vga mode acha iendelee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…