Ninatengeneza akaunti ya kuombea ajira kwenye website ya TAMISEMI.
Lakini kwenye kuhakiki taarifa zngu za nida nimeombwa number niliyosajilia NIDA ila nimesahau hyo imepelekea nishindwe kuendelea maana wanahitaji hiyo nisaidieni nitafanya nn kuweza ku figure out tatzo hili.