msaada kwenye manunuzi ya ebay

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
15,890
Reaction score
36,282
Wadau baada ya kusoma nyuzi humu kuhusu manunuzi ya mtandaoni hasa ebay, nami nimeweza kununua bidhaa na sasa nshatumiwa email kwamba bidhaa ipo njiani.

Sasa nilipoendelea kuangalia bidhaa na kutaka kununua tena, nimeambiwa kwamva hawaship kwa anuani ya P. o. box....ninachotaka kujua altenative ya p o box ni ipi?

Kingine nataka kujua kama naweza kulipia shipping kwa bidhaa ambazo ni free shipping ili niwahi kuzipata?

Natanguliza shukrani!!
 
bado sijapata msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…