Inawezekana kuna mwenye tazizo kama Kakore genuine ainisha jinsi ulivyoweza kufuta, alafu kichwa cha habari ukikiweka vizuri inaweza kumsaidia na mwingine kupata hii mada kupitia search option mfaano; Masada wa kifuta orodha ya majina kwa pamoja katika iPhone.