Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,920
- 4,014
ipo updated??version ya browser yako ipo compatible with the version of your idm??
hata uki update utaweza kuchakachua tena as long as unazo patchBrowser iko compatible na mwanzoni ilikuwa inadownload kama kawaida, idm verson sijaiupdate ni ya kuchakachua
unatumia firefox? firefox version mpya haikubali idm za zamani inabidi ui update hio idm yako
It wont work...Uninstall broswer unayotumia na Idm pia kisha restart computer the install tena ikija notification ya ku update update tena.
toa idm hio eka mpya, ni process ya dk 5 tu, cheki torrent idm ya karibuni, mathalan wiki au wiki 2 zilizopitaSasa mkuu hii idm yangu ni ya kuchakachua nikiupdate watadai key, hakuna namna nyingine?
hata uki update utaweza kuchakachua tena as long as unazo patch
toa idm hio eka mpya, ni process ya dk 5 tu, cheki torrent idm ya karibuni, mathalan wiki au wiki 2 zilizopita
Browser nzuri ya kutumia IDM ni firefox.
Setting -> Add-ons -> extensions
View attachment 441298
Angalia IDM Integration kama ipo enable.
kama ipo disable jaribu kufanya hv
1- enable IDM
2- Update IDM
Sawa mkuu, torrent site ipi ni nzuri nilikuwa natumia kickass siku hizi nikifungua nakutana na logo za intelligence agencies
Basi fuata ushauri wa watu wengine wa ku update IDMKwenye hiyo list ya extension idm haipo mkuu
Basi fuata ushauri wa watu wengine wa ku update IDM
Basi fuata ushauri wa watu wengine wa ku update IDM
maelekezo ya kuchakachua au??sijakuelewa kidogo mkuuPatch zipo mkuu, ila naomba maelekezo kidogo