Nyaluhusa87
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 1,303
- 262
nenda general kisha cellular utaikuta huko. general ya kwenye setting
Kwenye general hakuna option ya cellular
Sent from my iPhone using JamiiForums
nenda general kisha cellular utaikuta huko. general ya kwenye setting
Nyaluhusa kama unatumia mtandao wa Tigo hautakuta Personal Hotspot kwenye settings. Hii ni kwasababu Apple walivyoUpdate ios kwenda 7.1 wameondoa Hotspot kwa Carrier Companies ambazo zinaruhusu unauthorised usage ya Personal Hotspot wakiwemo Tigo. badili line weka ya Airtel utaona itarudi,,
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel na Vodacom, settings zikajiRefresh zenyewe in 1minute hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,Lakini mkuu nilikuwa natumia hata baada ya kuiweka hiyo iOS 7.1!!Nitajaribu hiyo kesho maana sina ile ya kukatia line niweke hiyo ya airtel
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel, settings zikajiRefresh zenyewe in 2minutes hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,
mkuu mimi binafsi solution niliyonayo kichwani kwa haraka haraka, kama hautaki kutumia mitandao mingine unataka Tigo tu basi hapo inabidi kuJailbreak na kuInstal tweak moja hvi ya Tethering inaitwa 'MyWi',,nakumbuka miaka hiyo nikitumia 3GS ilikuwa haina Personal Hotspot lakini nilivyoiJailbreak na kuInstal mywi nikaweza kufanya Tethering,,japo sina uhakika kama Jailbreak ya hiyo 7.1 inapatikana tayari kwa Untethered!!Thanks mkuu kwa hiyo idea sikuwa nayo.Ngoja nifanye mpango wa kuhama Tigo!!sasa ukiitaka iwepo kwenye Tigo tunafanyeje?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi yangu ilitoweka nilivyoUpdate kwenda 7.1.1 wiki mbili zilizopita ila nilivyo switch line kwenda Airtel na Vodacom, settings zikajiRefresh zenyewe in 1minute hotspot ikarudi. Naona hizi updates za kuanzia 7.1 na 7.1.1 zimeleta usumbufu kwa watumiaji wengi wa iPhone kwa upande wa Tethering. ila sababu kuu ni hiyo ya kuzuia unauthorised tethering ,,
sawa sawa,,Leo ndio nimeweka Airtel imerudi hotspot
Sent from my iPhone using JamiiForums
Leo ndio nimeweka Airtel imerudi hotspot
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata mimi hivyo hivyo... Nahama Tigo
Hata mimi hivyo hivyo... Nahama Tigo
Tigo watachukua muda kidogo kurekebisha loopholes kwenye mtandao wao ili tethering ikubali kwa IOS 7.1+..Niliwafata Tigo mlimani city wakasema niwape siku mbili watanitatulia tatizo hadi sasa ni week hamna solution nimeamua kuhama Tigo
Sent from my iPhone using JamiiForums