Msaada kwenye hii Tab ya Samsung

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Nimeipata jana usiku sasa leo nikataka ni update software... Maana ilikuwa version 2.3,, imemaliza kudownload.. Then nimei install ikareboot... Ikaanza ku load... Lakini imeganda kwenye 58% now almost nusu saaa... Wataalamu.. Niendelee kusubili au kuna njia nyingine.. Msaada...
 
Attachments

  • 1445004957706.jpg
    22.4 KB · Views: 113
Ningeweza kuijua umetoa nchi gani ningekisaidia maana hawa jamaa wanauza vitu vyao kulingana na nchi husika.inshort subiri kama lisaa 1 hadi 3..ikigoma zima kisha anza upya
 
Ningeweza kuijua umetoa nchi gani ningekisaidia maana hawa jamaa wanauza vitu vyao kulingana na nchi husika.inshort subiri kama lisaa 1 hadi 3..ikigoma zima kisha anza upya

Finally imemaliza mkuuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…