msaada kwenye hii computer

msaada kwenye hii computer

selestin john

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
67
Reaction score
8
computer yangu ukiwasha inaandika primary and secondary hard drive not found.nimejaribu kubadirisha hard disk hadi na nyaya zake lakini bado inaandika hivyo hivyo.msaada wenu wakuu
 
jaribu kuangalia jumper setting ktk hard disk yako hakikisha jamper setting ya hard disk iko ktk master na cd room iko ktk slave zote zikiwa ktk master window haita zitambua
 
another thing u can do nenda kwenye bios setting kisha angalia kama hardisk umeziactivate zionekane?
 
soma nyuma ya hard drives zako huwa kuna map inayo onyesha jamper position on every brand of HD.
 
okey kuna kama kiplastik kipo katikati ya vichuma viwili na kipo kwenye usawa wa neno master
 
computer yangu ukiwasha inaandika primary and secondary hard drive not found.nimejaribu kubadirisha hard disk hadi na nyaya zake lakini bado inaandika hivyo hivyo.msaada wenu wakuu

university soft drive umecheki???
 
okey kuna kama kiplastik kipo katikati ya vichuma viwili na kipo kwenye usawa wa neno master

sawa sawa na cd room iwe slave pia nenda pembeni ya cmo battery kuna jumper ya cmo clear cmo ili ufute memory ili ianze ku detect upya
 
Back
Top Bottom