chimela Member Joined Jul 14, 2016 Posts 63 Reaction score 142 Aug 2, 2017 #1 Jamani wale wataalamu wa ku design mabango,stika za kwenye magari naombeni ujuzi kidogo ikiwemo vifaa navyotakiwa kuwa navyo na hata gharama halisi za vifaa hivyo!. natanguliza shukurani
Jamani wale wataalamu wa ku design mabango,stika za kwenye magari naombeni ujuzi kidogo ikiwemo vifaa navyotakiwa kuwa navyo na hata gharama halisi za vifaa hivyo!. natanguliza shukurani