nimetumia MediaCom mda mref sana.
leo nimepata WizTech mpeg 4,
dish ft 6 lnb ya local na KU ya nigeria na ile ya kenya.
Tatizo nililonalo ni
MAJINA YA SATELITE ZILIZO NA LNB SIZIONI,
NAHITAJ NIONE intelsat 906,
nss 12 e
na Ku pass 7 / 10
kama ilivo kwny MediaCom mpeg2. nifanyeje. wadau ili WizTech ipige kaz?