Nenda kwnye hii link GBWhatsApp+ برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 4.55 – GBMods install kama app ambayo cio ya play store.....nenda settings ya simu yako allow kuinstall apps from unknown source after hapoo fuata maelekezo ikikataa tena ni pm brother......
Kwnn hyo app isipatikane play store? Na Je nan mmiliki wa hyo app? Na He kam ya mmiliki Ni whatsApp kwann hyo update isipatikane play store kwa app ya whatsApp ynyw?
Majibu ya mswali hayo [emoji115] Ni ya msingi sana ili kuwa convince watu kukubaliana nawe mkuu