charlie anaely
Member
- Aug 25, 2013
- 26
- 3
Shukrani kakaFor me its Gbwhatsapp
GBWhatsapp apk Download Latest Version Dual Gb Whatsapp.apk 4.16Naomba link ya kudonlowd gbwhtsapp
GBWhatsApp+ برنامج GBWhatsApp & WhatsApp+ 4.55 – GBModsTusaidiane link ya gbwhatsApp nasisi tuenjoy jaman
Ndo hyo kaka.....Ni hyo mkuu? mbona ina kiarabu mkuu?
Otherwise, thank you in advance
Kwhy kama kuna ile nyngn ya kawaida unadelete au?Ndo hyo kaka.....
Hapana mkuu....hii ukiweka unakuwa na uwezo wa kutumia no mbili tofauti za simu......mfano ile ya playstore unweza weka no ya airtel alfu hii gbwhatsapp unaweza weka no ya tigoKwhy kama kuna ile nyngn ya kawaida unadelete au?
Sawa mkuuHapana mkuu....hii ukiweka unakuwa na uwezo wa kutumia no mbili tofauti za simu......mfano ile ya playstore unweza weka no ya airtel alfu hii gbwhatsapp unaweza weka no ya tigo
Sasa mkuu inabid uwape watu course ya lugha ya kiarabu kabla hawaja install hyo app maana iko na version ya kiarabuSawa mkuu
Ndo ilivyo usishangaeNi hyo mkuu? mbona ina kiarabu mkuu?
Otherwise, thank you in advance
GBWA v4.55-2.16.57Fix by @atnfas_hoak.apkNmkutana na app kama tatu za watsap zoote hizo hazipo play store features zake ziko superb xaaanaaa,nlkuwa naomba wataalamu wansaidie ipi ni bora zaidi ya nyingne
Watsap plus
Watsap gold
Watsap gb au gbwatsap
Wala haihitaji course bro.....ni kitu cha kufuata maelkezo tu.....ukishadowload ukinstall ni rahsiii xana coz ni kingereza na settingz ni za whatsapp ya kawaida.....Sasa mkuu inabid uwape watu course ya lugha ya kiarabu kabla hawaja install hyo app maana iko na version ya kiarabu
Mm kdg alhamdulillah nakipata kdg, hata hvyo siwez kupakua hyo app
Kwaher, karib sana mkuu!
Uwezi tumia line mbili kwnye hyo hyo gbwhatsapp lazima uwe na whatsapp utkayodowload ktoka play store.....hapo kila whatsapp utweka no yake......Mie ninaitumia iko vizuri ila jinsi ya kufanya nitumie line mbili ndo mtihani