Ku Reset Kwa Njia ipi umejaribu.... na kuingiza Gmail jeeeeeeee???????????
So Si ungeingiza Pasword za Gmail.... Hii njia n safe na inafanya kazi sema huwa tunaweka pasword wakat hamna data connection... pale data connection n lazma iwepo... pia usi crem kua recover n kwa button ya sauti tuu ... kama tablet zna button ya Camera au home button kama ya kwenye samsung huwa inatumika ile pale... se4ma sometimes ndo unakutana na recovery mode katika lugha ya Kichina... hapo ndo inakua tatizoooo... I hate Guazhou Products kiukweli... japo they ar cheapinaomba password tu.haina sehemu ya gmail.nimejaribu kuhold key za volume na kuturn on lakini haiingii kwenye recovery ode.sina option nyingine sababu ikiwaka inaleta sehemu ya kuandika password
So Si ungeingiza Pasword za Gmail.... Hii njia n safe na inafanya kazi sema huwa tunaweka pasword wakat hamna data connection... pale data connection n lazma iwepo... pia usi crem kua recover n kwa button ya sauti tuu ... kama tablet zna button ya Camera au home button kama ya kwenye samsung huwa inatumika ile pale... se4ma sometimes ndo unakutana na recovery mode katika lugha ya Kichina... hapo ndo inakua tatizoooo... I hate Guazhou Products kiukweli... japo they ar cheap