Msaada kwenu mabaharia...

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
488
Reaction score
742
Hello JF..

Naomba niende direct kwnye mada husika.

Tangu nipo 1st year.nlikua na ukaribu na binti fulani,nlijaribu kumuimbisha dana dana zkawa nyngi ad tkawa marafiki wakubwa yaani hawez kaa dk.10 hajaniona wala kunisemesha..nkiwa mbali atanpgia ama kunitext ajue nlipo alnjal sana but just a friend japo nlikua namdokezea mara 1 moja kuw namkubali sana na nataman siku moja nimdinye,alikua akiishia kucheka mara muda mwngne kunitkana tkana(ile ya krafki na kuzoeana)..yote hayo yalfanyika tkiwaa tnakaa hostel 1 na mlango wangu na wake ndo inapakana hali ilopelekea kuwa na mazoea sana.

Baada ya kumaliza UE Nlmwambia nina plan ya kuhama hostel na chumba nshapata,akaniulza wap nkamwonysha..alichofanya akatafta namb ya mwny nyumba(pale nlpopata rm) nae akaomb chumba akaw amepata,na akafany kbs kutoa advance ili chumba kschukuliwe na mtu mwngne,kwa mara nyngne milango ilkua inatizamana,wakti wa likzo mwenye nyumba akawa ananiomb hela la svyo atakiuza kwa mtu mwngne,bs ikabd niachane na chumba icho..
inaendleaa>>>
 
Nlimweleza pia binti kuwa kuna uwezekano wa mimi kushndwa kuhamia kwnye ile hostel sabu mwenye nyumba anataka pesa na mie kwa muda huo sina,akaniambia nsubiri anitaftie ajaribu kukopa kwa mtu(bahat mby alikosa)ndo ukawa mwanzo wa kuish sehemu tofauti..

Yani yupo hyo hostel mpya alohamia na mimi nmebaki kwny hii hostel japo so mbali mita ka mi5 au mia 4 ktoka alipohamia..

Juz nlienda kwake,klchonpa wakati mgumu nlimkuta katoka bafuni na taulo akakaa hvyo hvyo na taulo tkawa tnapga story kama dk 7-10 poz zkawa nyngi ,kuna muda nilimuulza kitu flani na ili anijibu alipaswa hadi akiguse hcho kitu,bas kuona taulo ltaanguka akchkua sket akanigeuzia mgongo akavaa(ikumbukwe taulo hakultoa) hakuingia ata bafuni baad ya kumalz kuvaa sket akard kukaa tkaanza kuangalian namna flani amby ata mim skuelew imekuaje na story zszo na kchwa wala miguu..sielew akili mikono ilikua mizito sana kwa hofu kwmb nkilianzsha atanchkuliaje na utundu wte nlonao skfanya kitu zaid ya kuagana nkaondka roho ikiwa inaniuma.
inaendleaa>>>
 
Mwendelezo..
baada ya mimi kuondka alinpigia akanambia kesho atakuja kwangu kuja kula chakula(nlimwambia nimepika pilau)kweli akaja akachkua na issue flani amby nlimwambia akaiweke sawa muda flan ntakuja kuchkua na yy nimwachie kdog..kabla ajaondk nkawa namtania kama kawaid kwamb leo nkija kwako nakuja kukamilisha torati(kumt***)akawa anacheka t.. nkamwambia We nenda ila sa 12 ntakuja akasema sawa,sa12 nkaenda,nlpokarbia nlimuesms kua nmefka akanruhusu ingia,nlimkuta amevaa knguo flan kama kgaun chepesi waga akvaa namsifia..alikua amelala chali ktandan anachezesha t miguu macho yake nkawa syaelewi,plus story zszoeleweka nkawa t nachezea t miguu katlia bdo nafsi iliogp kulianzsha kwa kuogopa pengne anaweza kuniruka/nkatalia ingekua soo+umeme haukuepo nngewasha ata kredio kupngz kelele ambz pengne angepga,nafsi iliogopa mno tlikaa mwshow sjui alchok kunitega wakuu(yy pia kusema anitege ila openi 100% hawezi sabu ashaniaminisha kwmb ye ni mtu wa style flan yaan church girl)..kaokoka
NAMALIZIAA>>>>naendlea
 
Kujibinua binua kote nliishia kuona tight tu wakuu..roho inaniuma sana nawaza mbinu gan ntmie sabb nkisema nimuapproach kwa jinsi tlivyozoeana hatonielewa ataona kama nmechanganyikiwa
na ikitokea nimemla stoenda chuo wiki 1 kusheherekea ushindi..

naombeni msaada wa mbinu mabaharia..hatumii pombe

note:anamjua mtu wangu kwani ashagawahi kuja maghetoni,lakn pia ashaniambia yupo kwnye mahusian na jamaa flani ambae wako na plan ya kuoana..
mwsho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…