Msaada kwangu mgeni!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Jaman wanachama naomben kujua nataka kununua modem je ninunue ya mtandao gani ambayo iko poa?
 
modem zote ziko poa tatizo ni gharama ka unaweza nunua ya airtel mb 400 kwa 2500 tu,hata tigo o zantel nazo nzuri,ila sio voda wezi tu yaani mb50 kwa 2000 ati...........huh
 
mbona voda wana 10,000 unlimited airtel hawana? Kila mtandao una faida yake kakaaa usiwaharibie soko...... Modem nakushauri nunua zantel zinazoingia line hizi ndogo then ichakachue itaingia line zote. Ukilikoroga ukanunu modem mpya e153 imekula kwakooo
 
Kwahiyo hizo za zantel zote zinazotumia line zina urahisi wa kuchakachukika??
 
The cheapest one ni Tigo modem elf30, but ngumu kuchakachua.
Ya voda elf45 ipo powa na rahisi kuchakachua kwa kutumia Tigo, Airtel,Zantel(gsm).
Ya Airtel haichakachuliki.
Ya Zantel(gsm) sijui habari zake
Ushauri chukua ya Voda chakachua kwa mitandao mingine
 
Na vp kwa modem ya ttcl inasifa zinazofaa kuitumia au?
 
Sija sikia watu wakiongelea hili ila ya sasa teli ile ya mezani ni cheapest kuliko zote Tanzania!! weka unlimited day sh 500 halafu unadownload hadi unajuta na kwanini hukujua mapema. bei ni elfu 29 na vocha ya jero inakaa masaa 24 + 2 free hrs hapo niaje!!! Tatizo ni promo tu!!
 
pia wana bundle zao za mwezi na ni rahisi hazikatikati na speed yake ni stable na balaaa...i have one kwaajili ya shemu wenu nyumbani kudownload video za mapishi na mie nimeweka bitorrent inashusha muvi taratibu bila yeye kujua...nikirudi jioni naona muvi zangu zipo ready...raha duniani
 
Mkuu naona umefufuka
 
Kwahyo kwamfano mi sipo dar nipo mbeya vp sasatel Network itawezekana na pia nahitaji mawazo khs ttcl modem!
 
Hmm! what kinda movies? hehehe! umerudi mkuu zakupotea?
 

500 x 30=15,000 Kama si mtu wa kudownload vitu vingi it's uneconomical


I guess mkuu upo Dar,kwa aliye mkoani say Kigoma anaweza kuipata hii Sasatel?
 
kitu kama hicho mbona hakipo kabisa katika website ya sasatel. everything is very limited there. ni kweli unafanya hivyo? au unatupoteza njia?
 

hakuna mzee. zile modem mpya za tigo zinaweza kutumia internet ya line yoyte ya gsm. wala hazitaki ujanja mkubwa. google for and use the so called :
huawei modem unlocker v 5.8.1 itakupeleka tata na kukuongoza njia. mie natumia modem mpya ya safaricom ambayo imekuwa locked kwa customized firmware na inakubali fresh kabisa.
na modem ya voda ni elfu 15 sio 45. ila llazima ununue vocha ya elfu kumi kwa kuanzia . kwa hiyo jumla ni elfu 25.
modem za airtel ni bei gani wakuuu?
 

hamna modem isiyochakachulika. modem yoyte ya gsm inachakachulika. refer to my old post.
the chipest modem by the way ni ya voda. 15 elfu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…