Habari zenu wadau, Nina iPad first generation nataka kuinstall applications inashindwa sababu ni older version naomba ufafanuzi vipi naweza ku upgrade kama inawezekana au kama kuna mtu mtabe wa haya mambo anaweza akasaidia.
Hiyo itabidi utumie kama webbrowser, kuangalia video na kucheza mziki, Apps nyingi hazitakuea supported kwenye iPad hiyo ila jaribu bahati yako, kwanza fanya update ya hiyo iPad ifike latest iOS version inayoweza kusupport, iOS 5.1.1 kisha fuata ushauri huu SOLVED: How do I get apps for my iOS 5.1.1 on the app store - iPad Wi-Fi