Anderson John Member Joined Jun 24, 2015 Posts 44 Reaction score 57 Aug 15, 2017 #1 habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
habari za mda na wakati huu wana JF. ninaswali ambalo linahusiana na maswala ya ngozi...tatizo la kutokutokwa na jasho huwa linasababishwa na nini au chanzo ni nini?
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,199 Reaction score 6,461 Aug 15, 2017 #2 Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,082 Aug 15, 2017 #3 mtzedi said: Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua Click to expand... Kaandika kutokutokwa na jasho
mtzedi said: Unatokwa na jasho ukifanya nini? Mchana au usiku? Unafanya kazi aina gani? Fafanua Click to expand... Kaandika kutokutokwa na jasho
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,517 Reaction score 39,092 Aug 15, 2017 #4 Wapo wanyama hawatoki jasho unaweza ukawa kwenye kundi lao, cheki vizuri hospitali