Simu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube nayo haifungui.Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhali.
Ila si wanezindua OS yao mpya, nawezaje kuintall?
Wew unajua kabisa hiyo kampuni inaugomvi na marekan lakin bado unaendelea nayo bs ndo hivy umeuziwa kopoSimu yangu Ni aina ya HUAWEI Rio_LIO,juzi Kati ghafla play store imekuwa haina kitu na haifanyikazi Kama hapo awali.msaada wa namna ya kurejesha program hiyo ili afanye kazi kwani hata YouTube nayo haifungui.Wajuzi wa mambo haya msaada wenu tafadhali.
Program yao mpya ya 'HarmonyOS' badala ya Android nawezaje kufanya insatallation yake kuepuka ununuzi wa simu nyingine?Nunua simu aina nyingine, huawei wana ugomvi na marekani hivyo google play store, facebook, youtube, instagram, whatsup n.k havitasoma kwa hiyo simu..
App zote za Android hazitafanya kazi....na sidhani kama ina apps zake. Acha papara. Ingia Google ujisomee kuna maelezo ya kila aina. Jielimishe kwanzaProgram yao mpya ya 'HarmonyOS' badala ya Android nawezaje kufanya insatallation yake kuepuka ununuzi wa simu nyingine?
Ila si wanezindua OS yao mpya, nawezaje kuintall?
Ila si wanezindua OS yao mpya, nawezaje kuintall?
WhatsApp inafanya kazi vema.inst, facebook si mshiriki.tatizo Ni YouTube na playstores.Nunua simu aina nyingine, huawei wana ugomvi na marekani hivyo google play store, facebook, youtube, instagram, whatsup n.k havitasoma kwa hiyo simu..