Msaada kwa wataalam wa kutafsiri ndoto

Bhudagala

JF-Expert Member
Sep 17, 2014
325
311
Naomba msaada kwa wale watafsirio ndoto. Mwenzi wangu kaota maji mengi sana kama mto hivi, anajaribu kuvuka ikawa shida kidogo. Lakini pia wakati anajaribu kuvuka mto huo alikuwa na ujauzito.

Hii ndoto ina maana gani kwa wale wataalamu wa mambo haya.?
 
Back
Top Bottom