Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,685
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
sasa kama inafanya kazi ni tatizo hilo?
Tatizo ni kuwa siwezi kuhamisha data yoote wala kutunia internet kwa sababu hata moderm haidetect .. Umanipata mkuu?
Kweli bongo noma!! Nilijua hili tatizo litapatiwa ufumbuzi hapa JF . Tanzania education.
Ok ngoja ni google
Kweli bongo noma!! Nilijua hili tatizo litapatiwa ufumbuzi hapa JF . Tanzania education.
Ok ngoja ni google
Huwa hatuendi hivo yaan hauoni hata aibu kuleta tatizo kama hili...
vizuri unapoomba msaada usiwapeleke watu kama wadogo zako..
jifunze hata kusearch matatizo yako google ...
usitake kila kitu usaidiwe tena unakomandi
sio busara hzo nazani hata msaada hauwez kupata ukiwa unaenda hivi
enjoy++
Hilo tatizo lako nimekutana nalo kama mara 2, Solution pekee ninayoijua mimi ni kuingia kwa kutumia Safe mode.Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
Sasa mkuu mambo ya MMU unataka kuleta hapa tech? Acha mambo hayo bwana.
Tupe feedback ya tatizo lako
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
Try kuwacheki wataalamu wa hizi mambo kama @c 6, na CHIEF MKWAWA.
Nashauri uwatumie PM.
Huyo mwl rct yupo vizuri....fuata ushauri wake....jamaa anajua sana mambo hizo
Try kuwacheki wataalamu wa hizi mambo kama @c 6, na CHIEF MKWAWA.
Nashauri uwatumie PM.
Huyo Mwl.RCT yupo vizuri....fuata ushauri wake....jamaa anajua sana mambo hizo