Richard Mlangi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 380
- 194
Natoa msaada wa Ushauri kwa Mh Steven Wassira.
Hakuna chombo hapa Duniani chenye uwezo wa kupingana na maoni ya wananchi !
Mradi iliundwa tume kisheria nayo imetumia fedha na muda mwingi kukusanya maoni ya wananchi basi maoni hayo lazima yazingatiwe.
Kazi ya BMK ni kuangalia namna bora zaidi ya kutekeleza maoni ya wananchi ya serikali tatu na sio kuyapinga au kuja na rasimu nyingine.
SIO Kweli kwamba BMK lina uwezo wa kuyakataa maoni ya wananchi kama anavyohubiri Wassira mara kwa mara !