Msaada kwa wapenz wa games kwenye android smart

Msaada kwa wapenz wa games kwenye android smart

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Oya wakuu HV inakuwaje kwamba ukidownload game kubwa lenye mb kuanzia 300 unaambiwa uwashe WiFi wakat una mb kibao da hili swala linanikera xana unakuta game umelipenda graphics Kali kama 3brothers in army, mission Berlin na nk..msaada jaman natumia Vodafone 200...android version5.0 ila in a screen ndogo..hivo yaan happy xmasss
 
Hiyo wanakuonea huruma wewe, maana unadhani wao watajuaje kwamba una bando, huenda umewasha data tu bila ya kuwa na bando???
So ni ukumbusho kwako tu kwamba ujue unashusha mzigo mkubwa.
 
Unaweza kupakua bhana fanya hivi, ingia playstore tafuta game unapobofya install toa tik ile kwenye Wi-Fi na hapo utapakia hata kama ni GB2
 
Unaweza kupakua bhana fanya hivi, ingia playstore tafuta game unapobofya install toa tik ile kwenye Wi-Fi na hapo utapakia hata kama ni GB2
Kwa kuongezea hapo. Aingie google andika game analotaka kisha amalizie na apk mfano 3brothers in army apk hapo ataweza kudownload bila shida yyte
 
Hiyo wanakuonea huruma wewe, maana unadhani wao watajuaje kwamba una bando, huenda umewasha data tu bila ya kuwa na bando???
So ni ukumbusho kwako tu kwamba ujue unashusha mzigo mkubwa.
To a suluhu mzee
 
Back
Top Bottom