Nashukuru mkuu.. nishakita Nairobery ... nilifanikiwa kujiweka Kipepeo... Katikati ya jiji... uzuri hotel nying standard bei ya malazi hazitofautiani sana.. .. Karibu White Cap LagerSijui kama umesafiri...ila kama bado jaribu kutafuta hizi hotel
Lenana Mount Hotel au Kenya Comfort Hotel...zote zipo eneo linaitwa Harlingham,karibu na Kenya/Orange Telkom, bei zao ni rahisi kidogo na mazingira mazuri.
mmh.....mi mwenyeji zaidi Kericho......ungekuwa unaenda huko ningekuagiza......
Nashukuru mkuu.. nishakita Nairobery ... nilifanikiwa kujiweka Kipepeo... Katikati ya jiji... uzuri hotel nying standard bei ya malazi hazitofautiani sana.. .. Karibu White Cap Lager
Funguka Mjomba.... nitupie hilo kiota nikpata muda nikazuge..Angeulizia kumbi za starehe ningemwelekeza! lipo moja katikati ya mji wa Nairobi mpaka wadada wanapiga masturbation maji yanaruka kama mshale!
mara yangu ya kwanza kuona kitu inaruka nilikuwa siamini hapo kabla!
mia...mia...??????? Copyright?????
Funguka Mjomba.... nitupie hilo kiota nikpata muda nikazuge..
anashtakiwa kwa kifungu cha 2008 kifungu kidogo cha 8 cha copy right ya kutumia registerd trade mark ya figganigga. Just like iphone vs samsung. Ruttashobolwa where are you now?
Mkuu nishazuka na nikabugia combo box ya baga pale... naibukia Simmers kama sio R&J Bistro.. kesho nanzi Kibera namalizia Caravan.. nadhan vitatosha kwa wiki hii.. nsija nikarudi bongo nimefichwa kwene buti la basi..Nenda maeneo ya Westland ndio kuna viota vizuri...
hahaha pouwa mkuu!Mkuu nishazuka na nikabugia combo box ya baga pale... naibukia Simmers kama sio R&J Bistro.. kesho nanzi Kibera namalizia Caravan.. nadhan vitatosha kwa wiki hii.. nsija nikarudi bongo nimefichwa kwene buti la basi..