habar. Naomba kujuzwa kuhusu fee ya medical inalipwaje mana zipo mbil, ntajuaje mi nilipe ipi kati ya tsh 30000 na tsh 75000. Na sifa zao za ulipaji,pia hostel fee naweza nikalipa nusu au ni lazima kulipa yote
asante sana julie. Je ukilipa yote wanakataa au ni lazima kulipa nusu. Mana huyu anaetoa hayo maela asijebadae akagoma kama walivyogoma loan bodi kutulipia ada