Babarazack Senior Member Joined Sep 9, 2015 Posts 135 Reaction score 162 Jul 14, 2020 #1 Habari. Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya muhimu kwa ujumla. Asante
Habari. Wagenzi ninaomba msaada wenu tafadhali, naomba mnijuze ni chuo gani kinatoa diploma ya ukuzaji mitaala (diploma in curriculum development) sifa za kujiunga (vigezo) na mambo yote ya muhimu kwa ujumla. Asante
sarcomere1 JF-Expert Member Joined Dec 11, 2018 Posts 331 Reaction score 636 Jul 14, 2020 #2 Adem, chuo kipo bagamoyo Kuhusu ada na vigezo watakuja wajuzi zaidi