Wakuu kwema? Aisee mimi ni mtumiaji mwaminifu wa android phones, hasa samsung, ila nataka sasa kujaribu kutumia iphone, ila kuna vitu ningependa kuvijua kwanza kwenye iphone
* Nimesikia ukitaka kununua lazima uangalie icloud (sijui ni nini)
* hivi zinakaa sana na charge kuliko samsung?
* zina complication gani kwenye kuzitumia
* tumeshazoea kwenye android kuinstall ma software tu ila nasikia kwa iphone software zake mpaka ulipie
* kwa upande wa whatsapp inakubali kuinstall yowhatsapp au gb whatsapp
*camera je?
* na kama unataka kununua kwa bajet isiyozid laki 6, ni iphone ipi ndio unapaswa kununua?
Sent using Jamii Forums mobile app