Msaada kwa waliowahi pata FULLSCHOLARSHIP

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Habari wakuu....

Wakuu najua humu ndani kuna wadau wanasoma vyuo mbalimbali nchi za nje full scholarship..

Naomba mnisaidie vitu vifuatavyo...

1..je ili uweze kupata full scholarship wanazingatia vigezo vipi kwa upande wa matokeo ya olevel na advance??

2.process zake unaanzia wapi ili iwe rahisi kupata??

3..changamoto je kwa ufuatiliaji??je inabidi nawe uwe na kianzio cha tsh ngapi maana kwa nchi .hasa za korea

4.wakuu kwa kipindi kirefu nimekuwa na ndoto za kupata scholarship moyo wangu upo zaidi natamani kusoma nje??
 
Uwe na matokeo mazur form four na six atleast div two umefel sana..kuna kuandika motivatiom letter pesa inategemea ila lazima uwe na hela za hapa na pale
 
mimi nakaka yangu kaingia indonesia anachukua masters ,ndio kaenda juz tuu,, but amepata kutoka ubalozini.
 

Attachments

  • IMG-20170828-WA0021.jpg
    70.4 KB · Views: 45
Ya matokeo ya six na form four mazuri
Kama ni mazur basi fresh then kuna scholarship za S.Korea huwa zinatangazwa na ubalozi wa S.korea kuanzia mwez wa 10 waweza apply..process zingine zitafuata utazijua tu..muhimu ufaulu mzur manbo yanakuwa rahisi kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…