Msaada kwa waliowahi kufanya interview

Msaada kwa waliowahi kufanya interview

Nashkuruni sana kwa ushauri wenu wakuu na nyinyi m take care huko mliko!
 
Hizi Lugha kweli huwa na uwalakini ndani yake. Ninavyofaham inaweza kuwa lugha ya kukuaga kuwa unakokwenda kuwa mwangalifu..
.Mi nami nakumbuka nlisifiwa sana interviewer akasema you are so smart, You have something in your brain give me your all mobile number and your email...ilikuwa mwezi wa saba mwaka huu mpaka sasa wapo kimya sijapokea email wa simu toka kwao.

Kuna neno niliambiwa, kila nikilitafsiri sipati majibu. Nasubiri, it's been a week now. Ntakuja kuwapa feedback.
 
Kwenye kutafuta kazi hua ni bahati tu kupata...lakini usiwe unaweka akilini sana interview iliyopita...ni better to count yourself kama umekosa

U have the point. I count myself as a loser. Interview sawa na kubet tu
 
Back
Top Bottom