Msaada kwa waliowahi kufanya interview

Msaada kwa waliowahi kufanya interview

mara nyingi sekta binafsi na hata serikalini wakati mwingine huchukua muda mpk wakuite kwa ajira kwa maana mpk wajiridhishe mambo muhimu kama mishahara na stahiki zako nyiingine,kuwa mvumilivu tu utaitwa tu kama ni bahati yako
 
Habari wana JF

Kuna sehemu nilienda kufanya interview baada ya barua na cv zangu kukubaliwa.Sasa baada ya kumaliza interview yule Manager wa ile kampuni akaniambia atanitafuta kwa kunipigia simu kwa namba zangu alikuwa nazo then akaniambia ''TAKE CARE''

Cha ajabu hajanitafuta leo ni wiki ya tatu. Swali langu ni hivi hilo neno aliloniambia hapo juu ''take care'' ndio kwamba nijiongeze kwamba hana uhitaji wangu?? na je huwa linatumikaga kwenye interview kufikisha ujumbe kwamba kama hawakuitaji?

Naombeni ushauri wenu jamani nimechoka kusubiri promise ambazo sina uhakika nazo.

hilo neno kweli lina ualakini.kwann aseme hivyo
 
mm nimeelewa kuwa kuna hatua itafuata ambayo ukifanya mistake utapoteza nafas. labda watakuita wakupime kwa vitu vidogo au watakupigia cm kukupima so be careful
 
Hizi Lugha kweli huwa na uwalakini ndani yake. Ninavyofaham inaweza kuwa lugha ya kukuaga kuwa unakokwenda kuwa mwangalifu..
.Mi nami nakumbuka nlisifiwa sana interviewer akasema you are so smart, You have something in your brain give me your all mobile number and your email...ilikuwa mwezi wa saba mwaka huu mpaka sasa wapo kimya sijapokea email wa simu toka kwao.
 
Habari wana JF

Kuna sehemu nilienda kufanya interview baada ya barua na cv zangu kukubaliwa.Sasa baada ya kumaliza interview yule Manager wa ile kampuni akaniambia atanitafuta kwa kunipigia simu kwa namba zangu alikuwa nazo then akaniambia ''TAKE CARE''

Cha ajabu hajanitafuta leo ni wiki ya tatu. Swali langu ni hivi hilo neno aliloniambia hapo juu ''take care'' ndio kwamba nijiongeze kwamba hana uhitaji wangu?? na je huwa linatumikaga kwenye interview kufikisha ujumbe kwamba kama hawakuitaji?

Naombeni ushauri wenu jamani nimechoka kusubiri promise ambazo sina uhakika nazo.
Mbona neno take care ni neno la kawaida tu,kwani unapoagana na mtu ukimwambia take care is it a big deal?Mojawapo ya maana ya neno hilo ni "Good-bye and keep yourself healthy " so tatizo ni wewe unavyolichukulia neno hilo halina mahusiano na interview.Issue hapa ni uelewa wa jinsi hilo neno linavyotumika.Neno hli hutumiwa katika kuhitimisha mazungumzo so take it easy.
 
take care ni neno la kingereza maana yake ni kuwa makini lakini watu wengi kizazi hiki wamekua wakilitumia isivyo. Wengine wanapoagana utasikia mmoja anamwambia mwenzake take care ,.

Kwahiyo lisikuumize kichwa chamsingi kuwa mvumilivu tu subiri kuitwa kazini kama bahati ipo ipo tu.
 
Interview ni majanga. WanaJF na ile umemaliza oral interview wanakwambia we will call you after 3week na hawajafanya hivyo week 6 Sasa inamaana Ndiyo basi tena.
 
Interview ni majanga. WanaJF na ile umemaliza oral interview wanakwambia we will call you after 3week na hawajafanya hivyo week 6 Sasa inamaana Ndiyo basi tena.
Kama walikuambia watakupigia na hawajakupigia unahaki ya kufuatilia ujue kinachoendelea,labda huku qualify for the next stage na wanaogopa kukupigia kukupa "bad news".All in all ni haki yako kufuatilia ujue nini kinaendelea kuhusu hiyo kazi uliyokuwa interviewed.Tatizo job seeker wengi badala ya kufuatilia kwenye makampuni husika mnafuatilia JF.
 
Habari wana JF

Kuna sehemu nilienda kufanya interview baada ya barua na cv zangu kukubaliwa.Sasa baada ya kumaliza interview yule Manager wa ile kampuni akaniambia atanitafuta kwa kunipigia simu kwa namba zangu alikuwa nazo then akaniambia ''TAKE CARE''

Cha ajabu hajanitafuta leo ni wiki ya tatu. Swali langu ni hivi hilo neno aliloniambia hapo juu ''take care'' ndio kwamba nijiongeze kwamba hana uhitaji wangu?? na je huwa linatumikaga kwenye interview kufikisha ujumbe kwamba kama hawakuitaji?

Naombeni ushauri wenu jamani nimechoka kusubiri promise ambazo sina uhakika nazo.
Endapo utakizi vigezo na masharti atakupigia,take care. Kizzywizzy
 
Last edited by a moderator:
Kwenye kutafuta kazi hua ni bahati tu kupata...lakini usiwe unaweka akilini sana interview iliyopita...ni better to count yourself kama umekosa
 
ULIMWAMBIA SENKYUUUU
WEWE NI ME AU KE?
NA YEYE JE?:tonguez::glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom