la magica JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,802 2,737 Jul 6, 2016 #1 Katika viambatanisho vya kwenda bodi ya mikopo unatakiwa kutuma na cheti cha diploma. Sasa mimi nimemaliza mwaka huu so sina cheti,je ntafanyaje ndg msaada wenu tafadhali
Katika viambatanisho vya kwenda bodi ya mikopo unatakiwa kutuma na cheti cha diploma. Sasa mimi nimemaliza mwaka huu so sina cheti,je ntafanyaje ndg msaada wenu tafadhali