msaada kwa waliomaliza diploma mwaka huu wanaoomba mkopo

la magica

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,791
2,720
Katika viambatanisho vya kwenda bodi ya mikopo unatakiwa kutuma na cheti cha diploma. Sasa mimi nimemaliza mwaka huu so sina cheti,je ntafanyaje ndg msaada wenu tafadhali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom