usiwe na shaka mwalimu.
mulugo ameahidi kulifanyia kazi suala la walimu kutopanda madaraja yao kwa wakati.
Ameahidi walimu wote ambao hawajapanda madaraja kwa muda mrf atahakikisha wanapanda toka madaraja yao waliyopo(i.e,E,D,C) hadi kufika daraja A ndani ya mwaka ujao.
KUWA MVUMILIVU MWL.