Kwani hiyo Tecno yenyewe ni original?Je ni original au famba?
Kama ni original unachotakiwa kufanya ni kurestore simu, then unapoinstall application zi install kwenye memory card
Usitumie tena hiyo link ya nigeria, ni hucker and virus feeder link
Kwani kuna tecno orignal bro