Kwa kuwa alizaliwa, maswali yako yanakuwa hayako validHivi Yesu asingezaliwa tungekuwaje? Nini kingetokea na tungeishije? Na mahusiano yetu na Mungu yangekuwaje? Naombeni mnisaidie wanaolewa ahsanteni.
Kwa kuwa alizaliwa, maswali yako yanakuwa hayako valid