Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Habari ndugu zanguni wana jf.
Kwa ndugu zangu wa Arusha naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata "speckled Pigeon" njiwa hawa wanapatikana Arusha, Dodoma na Tabora.
Mimi ni one of few pigion breeder in Tanzania na nina species chache za njiwa kama American Fantail, African owl pigeon, king pigeon, crested helmet pigeon na hommer pigeons. Nataka kujaribu ku cross breed speckled pigeon na aina tofauti ya njiwa.
Kwa yeyote ambae ataweza kunisaidia nitampatia zawadi na naomba ani PM.
Shukran.
Mohammed