Huko Iraq wanachinjana kwa spidi kali sana eti Suni anaua shia halafu anasema Allah akbraKama ina madhara na wewe au inakulewesha ni haramu.
Vyakula karibu vyote hutokosa kuipata "ethanol" ukiitafuta.
Sukari ni mfano mzuri lakini kama hauitumii kwa ulevi ni halali na kama inakudhuru ukiitumia ni haramu.
waislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.
je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?
Kwa mujibu wa Quran yangu Kunywa pombe si haram. Kibaya ni kuswali ukiwa umelewa, sidhani kama ni dhambi tatizo ni hisia tu za watu, wanawaonea wanywaji pombe wivu.
soma Surat AN-NISAAI 4:43
[TABLE="class: siyah_b, width: 520, align: center"]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[TD] Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kama ina madhara na wewe au inakulewesha ni haramu.
Vyakula karibu vyote hutokosa kuipata "ethanol" ukiitafuta.
Sukari ni mfano mzuri lakini kama hauitumii kwa ulevi ni halali na kama inakudhuru ukiitumia ni haramu.
kwa mantik hyo bas ni haramu 35% ni nyng sana.. haram ni haram hakuna ndogo wala kubwa
Ha ha ha ha! Duhhwaislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.
je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?
Muuliza suala hakua na nia ya kujielimisha.
Kwanza angejiuliza kwa nini kuna vyakula halali na haramu.
Upande wa pombe imekatazwa kwa sababu inaleta umaskini kwa familia inaleta maradhi inaleta punguani inaleta watu wavivu na kama hayo.
So imekatazwa kwa sababu ya madhara yake kunywa kama pombe kwa mazoea.
Kuwemo pombe kwenye vyakula itakua haramu kama vitakua na madhara lakimi kama haina madhara sio haramu .hapa inachokstazwa ni kunywa pombe kama kilevi.
Nguruwe ni mchafu na ana virus zenye maradhi ndio maana tumekatazwa kula.Allah anatupenda hata adam alikatazwa kula kitu fulani kule peponi na alipo kataa kutii ndio leoo tupo huku duniani kukorogana

Tupe mamlaka ( kifungu toka kurani) inayosema hivyo
Kwenye pepo ya kiislamu kuna pombe balaa, logically huwezi kuacha kunywa pombe duniani wakati peponi kuna breweries
Mwislamu Kama unakunywa kwa ajili ya jihad inaruhusiwa.
Yani kama unaenda kulipua mabomu watu afu ukakosa ujasiri wa kuua, unaruhusiwa kunywa ili ukatekeleze hiyo Jihad.
Ndio Maana Alshabab wana kontena kibao ya pombe kwenye makambi yao.
Kuna kinywaji lakini si pombe, pombe ni zenu za duniani.
Tena si "breweries" kuna mito ya vinywaji, ewe punguani.
Pombe kwenye biblia wanapewa watu waliokata tamaa ya maisha na si starehe. Umesahau?
Wagalatia mna tabu sana. Mtu kauliza swali kwa waislamu mnaanza kuleta chuki. Anyway, we already knew this kwa sababu hata Mungu anasema wana chuki kubwa kuliko wanavyodhihirisha. Kimsingi kwa uzi kama huu mlitakiwa mpite kimya kimya tu ila kwa roho zenu za korosho mmechemsha kabisa. Viroho vinakereketa balaa.