Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.
Kwenye pepo ya kiislamu kuna pombe balaa, logically huwezi kuacha kunywa pombe duniani wakati peponi kuna breweries
Ingekuwa vyema ukazungumza na Moderators waanzishe Jukwaa Maalum La Dini Ya Kiislam maana hapa siyo mahali pake!!!!
Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.
Tupe mamlaka ( kifungu toka kurani) inayosema hivyo
Umejiunga lini JF?kwani jukwaa la dini halipo au?
waislamu wana vituko sana, yani itabidi hadi rais awe na mshauri maalum wa mambo ya kiislamu.
je wewe mleta mada wakati wa kuchamba unazamisha kidole chote cha kati ili kujisafisha kama uislamu unavyofundisha?
Habari ndugu zangu,
Napendwa kujuzwa kuhusu vyakula vinavyotambulika na sheria za kiislam, yaani HALAL FOODS.
Kuna food flavouring ambazo zinatengenezwaga kwa kutumia ethanol (solvent).Mfano wa flouring hiyo ni VANILLA EXTRACT.Vanilla extract is obtained after extraction of vanillin from vanilla beans by using ethyl alcohol e.i. ethanol.Na flavouring(Kionjo) hiki kinatumika kwenye Ice cream,baked products na bidhaa kadha wa kadha za maziwa,mfano yogurt n.k
Swali langu ni hili,je ni haramu kutumia kionjo hiki au products zilizo-flavoured na vanilla extracts? Na kisheria vanilla ina 35% ya ethanol.
Naomba msaada kwenu wakuu.
Kama ina madhara na wewe au inakulewesha ni haramu.
Vyakula karibu vyote hutokosa kuipata "ethanol" ukiitafuta.
Sukari ni mfano mzuri lakini kama hauitumii kwa ulevi ni halali na kama inakudhuru ukiitumia ni haramu.
Kwa mujibu wa Quran yangu Kunywa pombe si haram. Kibaya ni kuswali ukiwa umelewa, sidhani kama ni dhambi tatizo ni hisia tu za watu, wanawaonea wanywaji pombe wivu.
soma Surat AN-NISAAI 4:43
[TABLE="class: siyah_b, width: 520, align: center"]
[TR]
[TD="align: right"][/TD]
[TD] Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kughufiria.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]