social 006
Member
- Mar 7, 2021
- 6
- 2
Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.
Diploma ya Maendeleo ya jamiiUna GPA ya ngapi? Una diploma ya nini
Tafuta avnDiploma ya Maendeleo ya jamii
G.P.A 4.7
Pamoja na GPA yako nzr bila kuwa na award verification number AVN,hutofanya chochote...!Tafuta hicho kitu ndiyo access ya ku apply chuo...!Hivi vitu gani ni muhimu anapaswa kuwa navyo mhitimu wa diploma ili kuweza kufanya maombi ya vyuo kwa usahihi.